MTAA NI SHIDA NA COS-B HIT SONG



Msanii COS-B amekuja na ngoma yake mpya SHIDA ambayo imefanyika Studio ya Studio Tamu Records, Chini ya Producer Nyangi Toecheez.


Akizungumza na kazikazitz Siku chache msanii COS-B alisema " Mashabiki wangu pokeeni kazi yangu mpya soon Mungu akipenda kichupa kinafata Soon, Support yenu ni muhimu Track mpya ya MFAMAJI iko njiani kaeni tayari"

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.