Madee Atangaza kaamua kuacha muziki?


Madee naye amesikika akisema anafikiria kupumzika kwenye game muda si mrefu, amekaa kwenye muziki zaidi ya miaka 15 na anaamini hakuna kisichojulikana kupitia yeye kwenye muziki… atatangaza rasmi ni lini na tarehe ngapi ataacha muziki.
made
Madee
Anasema ameona ni vyema kuwapa nafasi wasanii wengine wanaochipukia kwenye muziki kuweza kujulikana na kupata nafasi.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.