Davido amepost picha yake na Diamond, kaandika na haya maneno kuhusu #MTVMAMA2015..


DAVIDOOOR
Davido
Ndani ya wiki mbili zilizopita staa wa muziki toka Nigeria, Davido aliweka post ya Bendera ya Tanzania kwenye ukurasa wake @Instagram na kuweka alama ya LOVE!!
Saa chache zilizopita kaweka post nyingine kwenye ukurasa wake @Facebook, amepost picha yake na Diamond iliyopigwa wakati wanaperform kwenye stage mwaka 2014  South Africa.
11694958_403436209857010_4888931845749158669_n
PERFORMING AGAIN LIKE THIS AT ‪#‎MTVMAMA2015‬ !! TOO MUCH BLESSINGS…” >>> Haya ndio maneno ya Davido kwenye post hiyo>>> @IamDavido
Na hii ndio post yenyewe ya Davido kwenye page yake Facebook.

Kwenye list ya mastaa watakaoperform Durban, South Africa kwenye Ukumbi wa Durban International Convention Centre July 08 2015 stage ya #MTVMAMA2015 yumo Bucie, Yemi Alade, Cassper Nyovest, Davido na Diamond Platnumz.
MTV
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.