Siku tatu kabla ya Obama kutua haya yameendelea kushuhudiwa Nairobi leo…
Ijumaa July 24 2015 Kenya itashuhudia kutua kwa Rais Obama kwa
mara ya kwanza tangu awe Rais wa Marekani… Wamarekani wanajali sana
kuhusu Usalama wa Rais wao, tulisikia ishu ya kutua kwa wanausalama wa
kutosha pamoja na magari ambayo yalianza kushushwa zaidi ya mwezi
mmoja kabla ya siku ya Obama kutua.
Hakuna maoni