Nay wa Mitego kanyang’anya vifaa vya studio? majibu yake yapo kwa Soudy Brown…#UhearD (Audio)


nay wa mitegooo

Kuna taarifa zilizagaa kuwa mmiliki wa studio ya Free Nation, Nay wa Mitego amegombana na Producer  Mr. T Touch na kuamua kuchukua vifaa vyake vya studio kwa madai hutozwa fedha za kurekodi.
T touch amesema mwenyewe ana vifaa vyake na sio kweli vimechukuliwa na Nay bali ni uzushi.
Nay mwenyewe amesema kutozwa fedha ya kurekodi ni jambo la kawaida hata kama amenunua vifaa vya studio..hayo ni maamuzi yake.
Wasikilize hapa wakiongea na Soudy Brown..

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.