Baada tu ya Kuchukia Tuzo ya MTV Mama Katika Kipengele cha Mtumbuizaji
Bora Africa Diamond Platnumz Alipiga Picha hiyo hapo juu akiwa na
Uongozi wake, Pichi hii imeleta Hisia Tofauti kwa Mashabiki wake Huku
Wengine Wakisema Hiyo ni Ishara ya kutukana.......
Je wewe Una maoni gani juu ya Alama hiyo ya Kidole cha Kati ?
Hakuna maoni