Davido kamtaja msanii mwingine anaefanya nae kolabo Tanzania
.
Davido ni msanii wa Nigeria ambaye jina lake lilizidi kutajwa sana Tanzania baada ya kufanya kolabo ya ‘number one rmx’ na Diamond Platnumz.
Sasa July 18 2015 kwenye Exclusive
interview na AyoTV Durban South Africa Davido kamtaja msanii mwingine wa
Tanzania anaefanya nae kolabo hivi karibuni.
Hakuna maoni