Mashabiki wana vituko vyao, sikiliza hii iliyomkuta R.kelly akiwa kwa daktari wa meno! – (Audio)
R.kelly
ni msanii mkubwa wa RnB, producer, mtunzi wa nyimbo na mfanyabiashara
kutoka Marekani ambaye anafahamika kwa nyimbo zake nyingi zikiwemo Snake, Trapped in the closet (series edition), Storm is over na nyingine.
Sku chache zilizopita, R.kelly alifanya interview na radio station moja ya Marekani kuzungumzia kazi zake pamoja na Tour anayokaribia kufanaya hivi karibuni.
Miongoni ya maswali aliyoulizwa R.kelly ni kituko gani cha ajabu alichowahi kufanya shabiki ambacho hawezi kuja kukisahau, R kelly alikuwa na haya ya kusema…
>>>“kipindi
fulani nilienda kwa daktari wa meno, kulikuwa na nesi mmoja wa kizungu
ambaye mume wake ndio daktari mwenyewe wa meno, yule nesi alijua siku
hiyo nitakuja akajiandaa na nini, nimefika pale tukaingia ndani akafunga
mlango…daah akaniomba niweke signature yangu kwenye matiti yake…
nilisign bila kuyagusa…sikuyagusa!!” <<< R.kelly.
Hakuna maoni