Maneno ya Martin Kadinda kuhusu kuwapatanisha, Pesa za Wema Sepetu kibiashara, nguo na mengine

Martin Kadinda
Martin Kadinda ni meneja wa mwigizaji Mtanzania Wema Sepetu ambapo aliitembelea TZA kwenye studio za Millard Ayo na kuongea mengi kwenye Exclusive Interview, kuhusu pesa anazolipwa Wema Sepetu ukimualika kwenye party, kumpatanisha na Kajala pamoja na nguo zake mwenyewe Martin Kadinda.
Tazama kwenye hii video hapa chini uyachukue yote hayo.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.