Kwenye Press conference hapa
Durban South Africa
Waandishi wa habari wa nchi mbalimbali Afrika na hata wengine wa
Uingereza walikua wakihoji mastaa mbalimbali wanaohusika kwenye tuzo
hizi akiwemo
Diamond Platnumz,
Neyo,
P Square na wengine ambapo Diamond alijibu maswali kwa kujiamini na kuelezea mambo mbalimbali kwenye hii video hapa chini.
Hakuna maoni