Z ANTON NA BONGO MOVE
Z Anton
Hitmaker wa ‘Binti Kiziwi’ Z Anton amekuwa akipost picha yupo location.. mwenyewe amefunguka na kusema kuna kazi amefanya na mastaa wengi wa filamu na itaingia sokoni wakati wowote..amesema hiyo ni filamu yake ya kwanza kuanza kuonekena…mpaka sasa amefanya tatu lakini mbili bado hazijatoka.
Hakuna maoni