Nigeria imempa kazi kocha huyu kuinoa ‘Super Eagles’ kabla ya kuivaa Tanzania!! By Jesca TZA on July 16, 2015 Share Tweet Share Share comment



oliseh
Timu ya Taifa ya Nigeria Super Eagles imempa kibarua cha ukocha kiungo na nahodha wake wa zamani Sunday Oliseh.
Oliseh anachukua nafasi ya Stephen Okechukwu Keshi ambaye alitimuliwa mwanzoni mwa mwezi huu na uongozi wa timu hiyo.
Kocha huyo atasaidiana na mbeligiji Jean Francois Losciuto wakati kikosi hicho kikiwa kunajiandaa kupambana na Tanzania mapema mwezi wa Septemba mwaka huu katika michuano ya kufuzu kombe la mataifa afrika la mwaka 2017

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.