Steve Nyerere alivyosindikizwa na watu wake kuchukua Fomu ya Ubunge Kinondoni (Pichaz)
Chama cha CCM kilitangaza kwamba
wameanza rasmi kutoa Fomu kwa wale wanaogombea nafasi za Ubunge na
Udiwani, jana July 16 2015 tukamwona Mkubwa Fella akirudisha fomu yake ya kugombea Udiwani kata ya Kilungule, Mbagala Dar es Salaam.
Staa wa Bongo Movie, Steve Nyerere
nae kaingia kwenye Headlines, alisema anautaka Ubunge wa Kinondoni na
leo amefika Ofisi za CCM Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam… Kachukua fomu
na ahadi aliyoitoa ni kwamba anairudisha fomu leoleo mtu wangu !!
Steve Nyerere akiwa na marafiki zake waliomsindikiza kwenda kuchukua fomu.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge
Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athumani Sheshe
Steve akisaini kuchukua fomu hiyo, pembeni yake yuko mwigizaji Cate wa Mambo Hayo pamoja na Thea.
Hakuna maoni