Sababu za Izzo Bizness kwanini muziki wa Hip Hop hautusui
Izzo Business
Inawezekana ukawa na maswali kwamba
kwanini muziki wa Hip Hop bado haujatusua kimataifa sasa Emmanuel
Simwinga aka Izzo Bizness amefunguka na kuelezea sababu zinazopelekea
kwa kukwama.
.Izzo Bizness
‘Muziki wa Hip Hop sio kama Haupenyi
kimataifa ila kuna vitu ambavyo vinakwamisha kama uongozi mbaya, mtaji
mdogo kwahiyo kuna vitu vingi lakini sio kwamba muziki wetu haupenyi au
hauwezi kufika ukapendwa hapana labda sasa hivi tukamzungumzia Joh
Makini anafanya rapper anafanya Hip Hop na tunaona anapata rotation
nzuri tu TV kubwa na wimbo wake wa Nusu Nusu hiyo inaonesha kabisa ni
njia kwa wasanii wengine ambao wanafanya muziki kama wa Joh Makini’ – Izzo Bizness
.
Hakuna maoni