Kupitia Account yake ya Tweeter Mrembo na Mwigizaji wa Bongo Movies Lulu
Michael Amerusha Kijembe kikali kwa Wanaowania Ubunge kupitia Viti
Maalum, Kijembe hicho kimetafsiriwa na Wadau kuwa ni Special kwenda kwa
Wema Sepetu ambae nae yumo katika wagombea kupitia Singida...
Soma Hapa alichoandika:
Hakuna maoni