R.I.P Banza Stone....


Siku chache zilizopita taarifa zilisambaa kuwa msanii Banza Stone amezidiwa na kulazwa katika hospitali ya Mwananyamala .
Taarifa zilizotufikia na kuthibitishwa na familia yake mchana huu majira ya saa saba ni kwamba msanii huyo ameaga dunia akiwa nyumbani kwao Sinza.
Kaka wa marehemu Hamis Masanja  amesema amefariki mchana huu Sinza Lion na taarifa zitaendelea kutolewa  baada ya ndugu na jamaa kupewa taarifa

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.