Rais Obama hayuko mbali...Nairobi Hapatoshi, hizi ndio dalili… (Pichaz)
Ndege kubwa ya Kijeshi ikiwa Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi Kenya.
Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta umekuwa
busy sana zaidi hata ya ambavyo ulikuwa siku za nyuma.. unaambiwa kila
siku hakukosekani stori kutoka Nairobi Kenya kuhusu ugeni wa Rais Obama.
Usalama kwanza, YES.. Marekani hawana
utani kabisa na Usalama wa Rais wao, zinashuka ndege kila siku pamoja na
makundi ya watu wa Usalama ili kuhakikisha mpaka Rais Obama anatua hali inakuwa shwari japo kumekuwa na mashambulio mengi sana yanayohusiana na matukio ya Ugaidi.
Imetua ndege kubwa ya Kijeshi na vifaa vingine vingi zaidi.
Hakuna maoni