Kambi ya Lowassa Yameguka, Sophia Simba na Nchimbi Kumuunga Mkono Dr. Magufuli
Wameandaa hafla ya kumpongeza mgombea mwenza Samia Suluhu
Mh Nchimbi: Yeye alitoa pongezi kwenye ukurasa wake wa facebook, kumuunga mkono.
Aliyegoma kumuunga mkono ni kimbisa ambaye alikuwa kwnye mashauriano na Mh Lowassa.
Kumbe wote hawa walikuwa wachumia
Hakuna maoni