Rais Kikwete kathibitisha majina matano ya Wagombea Urai CCM

CCM II
Pichaz zilianza kusambaa mitandaoni, baadae ikaja stori kuhusu Wagombea walioteuliwa kwenye Urais kupitia CCM.
Muda unavyozidi kwenda ukweli wa hii stori unachukua nafasi zaidi, kwenye ukurasa wa @Twitter wa Rais JK kathibitisha majina haya matano kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM Dodoma.
Kamati Kuu imefanya kazi ya kwanza. Majina matano ya awali ni: Bernard Membe John Magufuli Asha Rose Migiro Januari Makamba Amina S. Ali“– @

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.