
Kwa miaka isiyozidi miwili hakukuwa na amani kati ya Producer wa
AM Records Manecky na mwimbaji wa bongofleva
Diamond Platnumz na ni baada ya Manecky kushutumiwa kuvujisha nyimbo za Diamond ambazo hazijakamilika.
Kwenye hii video hapa chini utapata kila kitu jinsi ilivyomalizwa hiyo beef
Hakuna maoni