Picha,The Game kapania, anarekodi album ata akiwa uwani.
The Game ameweka picha akiwa uwani ila bado anarekodi nyimbo kama kawaida, kitu ambacho kimechukuliwa kama kituko na baadhi ya mashabiki wake.
Album ya “The Documentary 2″ inafanywa na producers Dr. Dre, Timbaland, Pharrell, na Swizz Beatz.
Hakuna maoni