Kuhusu video mpya ya Navy Kenzo, kashirikishwa nani na album yao mpya,viko hapa

Gamesocial
Navy Kenzo ni kundi lenye mapendekezo ya kuwania tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) mara mbili mfululizo katika kipengele cha kundi bora la mwaka, ikiwemo mwaka huu pia. Rekodi ya “Game” ni nyimbo ya pili kutoka kwenye albamu yao ya “Above In a  minute”
Navy Kenzo wanayo furaha kuwajulisha mashabiki wao kwamba  nyimbo/video hii yenye kufurahisha na maigizo ya mahusiano katika maisha ya vijana wa sasa.
Nyimbo hii “GAME” imetayarishwa na Nahreel (The Industry Studios)Video imetengenezwa na Justin Campos (Gorilla films)
Navy Kenzo ni kundi lenye mapendekezo ya kuwania tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) mara mbili mfululizo katika kipengele cha kundi bora la mwaka, ikiwemo mwaka huu pia.
Navy Kenzo ni kundi lililo jizolea umaarufu wake kwa kasi Afrika Mashariki, pia kutumbuiza jukwaa moja na wasani wa kimataifa wakiwemo Fuse Odg, AKA, Rick Ross nk

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.