NEW TRACK: Kutoka kwa UNCLE SOME mkali ya Flaver
Mmoja kati ya wasanii wa kizazi kipya wanaokuja vizuri, Wanamuita UNCLE SOME
Anakuja na Track MPYA, Nakusema Amejipanga kuja kushika Game,
Track yake hiyo iliyo Rekodiwa kwenye studio za KAUSHA RECORDS Kinondon Studio, Chini ya Producer Mkali KIBA DRAMA, Na kuipa jina la NARUDI NYUMBANI,
kazikazitz.blogspot.com Tulipofanya mazungumzo na UNCLE SOME kwa njia ya Simu alisema hivii Kuhusu Story iliyo mfanya aandike ngoma hii..
"Story ya nyimbo
Narudi nyumbani ni nyimbo ambanyo niyaukweli kuhusu mapenzi yanavyo umiza kati ya mtu mwenye pesa na mtu asiye na pesa,wakati na zungumza nakumaliza kuhitunga mara sam wa ukweli akaja nakusema nikweli ulicho kihimba kimewakuta wengi na ndipo ndilipo toa ngoma hiyo narudi nyumbani"
kazikazitz.blogspot.com JE UNAMALENGO GANI BAADA YA TRACK HII...alisema
"Kwa sasa najiandaa kuifanyia video hivi karibuni na yote tisa mungu atujaliye afya njema kwa kila jambo"
kazikazitz.blogspot.com Nini kinafata baada ya Track hii alimalizia kwa kusema
"nakudokeza kidogo ngoma hinayo kuja kati ya mimi na dully skesy umo tumechuana hatari by uncle some"

SIKILIZA HIYO KAZI HAPO CHINI KISHA TOA MAONI YAKO
Hakuna maoni