ENDRU G: THE BEST MALE VOCALIST Anadai Amejipanda Vizuri..

          Msanii mkali wa bongo flaver ENDRU-G, mkali kutoka TANZANIA HOUSE OF TALENTS(THT) kipindi Hicho alipewa jina na Uwongozi wa THT kuwa yeye ndo THE BEST MALE VOCALIST, Leo amekiri na kusema kweli hana mpinzani Hote ni nguvu ya poromo,
Amesema amejipanga vyema zaidi Baada ya mara ya mwisho kutoka na ngoma ya SHOLELA
AMEWAAMBIA MASHABIKI ZAKE MAKAE MKAO wa KULA MUSIKI MZURI ZAIDI..

   

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.