Mabibi na mabwana Wizkid na Drake wanayo furaha kukuletea ‘Ojuelegba’ Remix…(Audio)
Siku chache zilizopita kulikua na taarifa za staa wa Nigeria Wizkid kufanya remix ya ngoma yake ya ‘Ojuelegba’ na staa wa muziki Marekani Drake.
Wawili hao wameungana pamoja na kutuletea collabo ya wimbo huo.
Wasikilize hapa mtu wangu…
CHECK LINK HAPO CHINI..
Hakuna maoni