AKUTWA na Mamilioni Akitaka kuwa Onga Wajumbe wa Halmashauru Kuu Dodoma
Updates Kutoka Jamii Forums:
Hapa St. Gasper Hotel ambapo ilikuwa ni kambi ya Edward Lowassa sasa hivi zimekamatwa fedha zinazodaiwa kuandaliwa kugawiwa kwa wajumbe wa NEC.
Aliyekamatwa kageuka, anasema katumwa na Membe
Hakuna maoni