Lulu atolea ufafanuzi wa ‘Kijembe’ Alichoandika Twitter kuhusu ‘viti maalum’ Ambacho Wengi Wanadai Amemlenga Wema Sepetu
Baada ya muigizaji mrembo wa filamu za Bongo, Elizabeth “Lulu” Michael
kuandika tweet iliyotafsiriwa kuwa huenda ni kijembe kwa mrembo fulani,
amefafanua alichokimaanisha.
Lulu amesema kuwa alichokiandika kwenye post hiyo ilikuwa ni utani, na wakati huo huo kukubali kuwa inaweza kuwa na ukweli ndani yake.
Hiki ndicho alipost:
Lulu aliendelea kwa kusema:
Lulu amesema kuwa alichokiandika kwenye post hiyo ilikuwa ni utani, na wakati huo huo kukubali kuwa inaweza kuwa na ukweli ndani yake.
- “It was a joke, but sort of ukweli pia kwa sababu mara nyingi kumekuwa na dhana watu wa nje wanachukulia kama vile viti maalum ni vya kupeana” alisema kupitia The Playlist ya Times Fm.
Hiki ndicho alipost:
Lulu aliendelea kwa kusema:
- “…probably watu wameichukulia kama nimemsnitch mtu, mimi siko hivyo na sinaga hayo mambo kabisa. Ni kwamba nimefanya kama utani, lakini watu wasichukulie poa kwamba kila anaewekwa pale kwamba ana sura nzuri, kila anaewekwa pale ana umbo zuri.”
Hakuna maoni