Hivi Ndivyo Wanawake wa Mjini Wanavyoendesha Wanaume Hapa Mjini...Pesa
Pesa Pesa...Soma Hizo Baadhi ya Message Hapo chini : Bila Pesa Mjini
hapa wewe Mwanaume si Kitu...Ukibahatika Kusoma Meseji kwenye Inbox ya
Simu ya Mkaka wa Mjini Inbox nzima imejaa Meseji za Mizinga kutoka kwa
Wadada wa Mujini...Uongo Kweli ?
Hakuna maoni