Hivi ndivyo Diamond alivyopokelewa Airport Dar es Salaam akiwa na Tuzo yake toka South Africa.. (Pichaz)
Ilibidi mabaunsa wafanye kazi ya ziada ili kumpitisha mpaka kwenye gari.
Diamond Platnumz jana katangazwa Mshindi wa Tuzo moja ya MTV MAMA 2015 Category ya Best Live Act,
hajachelewa kurudisha Tuzo home.. tayari kaingia Dar es Salaam na hata
kabla hajafika Uwanja wa Ndege kulikuwa na Kundi kubwa la watu
waliofurika wakiimba muda wote na kushangilia Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere International Airport.
Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi ya Diamond Platnumz kutoka Airport
Ona pichaz kuanzia mwanzo kabla hajafika, alipofika na watu wake walivyojipanga kumpokea.
Diamond ni mtu wa Kigoma Tanzania, Peter Msechu nae akaona awepo kumpokea Wakigoma mwenzie.
Kama Ronaldooo… Jamaa hata hawakuchoka kujiachia yani.
Hii
ni sehemu ya family ambayo iko karibu sana na Diamond, yuko Romy Jones,
Mama yake Diamond, Queen Darlen ambaye ni dada yake na wengine wengi.
Kila mmoja na camera yake wengine na simu zao, ilimradi waipate picha ya Daimond akiwasili Airport na Tuzo yake mkonon
Hakuna maoni