Diamond alipost hii video ya Jokate asubuhi, Jokate nae kaamua kupost hii… By Newsroom TZA on July 19, 2015 8 shares Share Tweet Share Share comments photo-collage Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za #MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini. Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond. unnamed unnamed (1) Diamond amekuwa msanii pekee wa East Africa kurudi na Tuzo ya MTV MAMA 2015 kati ya wasanii 17 waliofanikiwa kuibuka Washindi
Diamond alipost hii video ya Jokate asubuhi, Jokate nae kaamua kupost hii…
Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za #MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.
Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz
Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Diamond amekuwa msanii pekee wa East Africa kurudi na Tuzo ya MTV MAMA 2015 kati ya wasanii 17 waliofanikiwa kuibuka Washindi
Hakuna maoni