WADONTOWN StArS: Wanajipanga Kurudi tena Kwenye GAME... Wakali wa ABARUMBA
Msemaji & Kiongozi wa kundi hilo EMZONA a.k.a (Emzonaclassic) la muziki wa kizazi kipya amezungumza na KAZIKAZI leo hii na kutoa siri hiyo kuwa wamejipanga sana n wanamalizia RECORDING zao... Then kazi zao zitasikika tena kwa speed zaidi ya mwanzoni walipoanza kama kundi la music.
Akamalizia kusema anawapenda sana mashabiki zake wanao wa surpot.
Hakuna maoni