(Video)..Ben Pol amerudi tena kwenye headlines!! yupo kwenye collabo hii ‘Ruka juu’ na Emanuel Austin
Ben Pol amerudi kwenye headlines za
burudani tena na safari hii ameshirikishwa kwenye videop ya ‘Ruka Juu’
aliyoshirikishwa na mwalimu wa dance anayeishi ujerumani Emanuel Austin.
Video ilisimamiwa na mmoja wa watayarishaji maarufu Ujerumani aitwaye Fundi Samweli.
Itazame hapa..
Hakuna maoni