Taarifa ya huzuni kwa mashabiki wa vichekesho…R.I.P!
Muigizaji Benson Wanjau wa Kenya maarufu kama Mzee Ojwang wa vipindi kama Vitimbi, Vioja Mahakamani, Vituko, Kinyonga na vingine vingi afariki dunia jana Usiku akiwa amelazwa hospitali ya taifa ya Kenyatta National Hospital. Mzee Ojwang alikuwa anasumbuliwa na Pneumonia.
Wakenya wengi wameguswa na msiba huu
huku baadhi ya watu wamepost ujumbe tofauti kwenye mitandao wa Twitter
kuonyesha kuguswa kwa msiba huu wa aliekuwa mchekeshaji mkongwe wa Kenya.
Mzee Ojwang amefariki akiwa na miaka 78.
Breaking News: Veteran Vitimbi actor ‘Mzee Ojwang’ dead at 78 http://t.co/GxeEl57SWH pic.twitter.com/uDeWlK0Cm9
— NTV Kenya (@ntvkenya) July 12, 2015
@ntvkenya
R.I.P to one of kenya’s favorite actor of all time. We will truly miss
Mzee Ojwang,n treasure his memories — Robin Davies (@Roby_254) July 13, 2015
@ntvkenya Rip Mzee Ojwang you were a great entertainer#Mzee Ojwang
— John Burudi (@kabrasmi) July 12, 2015
Hakuna maoni