Steve Nyerere, Mkubwa Fella wamechukua fomu zao, Wema Sepetu je? Mcheki hapa..(Pichaz)
Wema Sepetu, pembeni yuko Petitman, Mirror, Jordan na watu wake wengine
Leo July 16 2015 Staa wa Bongo Movie, Steve Nyerere amefika
Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni na kuchukua Fomu za Kugombea Ubunge,
hakutaka kukawiza mambo, kachukua fomu mchana na kurudisha leoleo.
Wema Sepetu je? Si alitangaza kwamba anautaka Ubunge wa Viti Maalum Singinda !!
Wema Sepetu na Petitman.
Hakuna maoni