Rapa T.I. amebadilisha jina la album yake ya kumi kwa mara ya nne.
Kupitia mahojiano aliyofanyiwa hivi
karibuni T.I Amesema album yake itaitwa The Dime Trap. Akiongelea mfumo
wa album yake mpya T.I Amesema baad ya kufanya nyimbo kama ‘Whatever
You Like’,‘Dead and Gone,’ na ‘Blurred Lines ni muda wa kuendelea
kufanya muziki wa vijana zaidi.
Awali album ilipewa jina Unapologetically gangsta, ikabadilisha na kuitwa Trap’s Open na baadae ikaitwa Paperwork: The Return.
Hakuna maoni