Rais wa FIFA amwagiwa midola mbele ya camera.. (Pichaz & Video)
Leo hii amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya mchekeshaji wa Uingereza Simon Brodkin kumfuata akiwa katika Press Conference alafu akamwagia pesa huku akijifanya kuwa yeye ni mjumbe wa FIFA kutoka Korea Kaskazini.
Simon Brodkin ambaye
anafahamika kwa kupenda kufanya utani katika maeneo mbalimbali, amewahi
kufanya utani kama huo 2014 baada ya kujiunga na timu ya taifa ya Uingereza kama moja kati ya viongozi wa bodi na kutaka kusafiri na Kikosi cha Timu hiyo kilichokuwa kinasafiri kwenda Brazil kwenye Michuano ya Kombe la Dunia 2014.
Nimekusogezea video yatukio hili la leo jamaa alivyomwaga noti kwa Rais wa FIFA
BONYEZA CHINI KUCHECK VIDEO .
Hakuna maoni