Nimempata Diamond hapa South Africa, kaeleza ukweli wa beef na Davido na walivyokutana juzi, mtoto wiki ijayo na tuzo za MTV.



Diamond 5
Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz amekutana na camera ya AyoTV hapa Durban South Africa wakati tukisubiria tuzo za MTV 2015 kaongelea Beef yake na Davido ilivyokua na mpaka wakakutana, mtoto wake wiki ijayo, tuzo za MTV na mengine

UNATAKA KUONA JINSI DIAMOND ALIVYOHOJIWA NA WAANDISHI WA HABARI HAPA SOUTH AFRICA?

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.