Msichana Anayempenda Diamond adai Akijinyonga na kufa Chanzo mjue ni Penzi la Diamond...
Dear @diamondplatnumz Mimi kila sikuu nnakwambia
nnakupendaa kila siku... its ok lamdaa haunipendii nisijakulazimishaa
isitoshee una mama kijachoo upendii kumiuzii.....ivii ataa kunioneshaa
support tu .. kujibu DM zanguu maana inaonesha seen... ila unanifanyia
dharau... au ujawahii kupenda? Nnajua taharifa zangu unazol maana kila
sikuu nnakwambia sichoki nnawaambia na akina @kifesi akina @romyjons
inamaana na a woo wanapuuzia...its OK diamond unipendii... Basil ata
kushow love... siku moja ukasema shabiki yanguu baby akee nakati ya
msasani au vingunguti.. unashidwaa kweeeli?. D wewe ni bimadamuu ganii
unakosa utuu... OK Mimi ni masikini sivaii designer sishonei Brazilian
svai CL. But iyoo isiwe sababuu yakunikosesha utuu nkadharaulikaa...
ivii... eeh?. Ivi D wewe ulizaliwa na Mali.?.. na ni watu wangapii
walikua na mikampuni ila wakalata bankruptcy wakarudia umasikinii.... OK
mimi mbayaa kama wanavo nitukana.. ivi ni wangapii walikua wazurii
kupita kiasii wakapata ajali ya motoo mpaka leo uezii watzama Mara
mbili.. ivii ni haki kumu underestimate mtuu.. ni vema kumtenga MTU.
Kwakweli nnajisikia vibayanoo Kuwa ignored.. if i commit suicide chanzo
ni you diamond
Hakuna maoni