Mbunge wa CHADEMA kanusurika kwenye ajali ya hii Helicopter leo July 07 2015
Taarifa ilianza kuenea jioni ya July 07 2015 kwenye kuhusu ajali ya
Helicopter iliyokua imebeba Wanachadema mbalimbali akiwemo mbunge
Arumeru Mashariki Joshua Nassari.
Kwenye ukurasa wa Twitter wa CHADEMA zimewekwa post kwamba Mbunge Joshua Nassari ndiye aliyepata ajali hiyo ya Helicopter, amepelekwa Hospitali kwa ajili ya matibabu pamoja na rubani na watu wengine ambao hawajatajwa, ni baada ya kunusurika

Hakuna maoni