Nagombea ubunge jimbo la Kinondoni kwa ticket ya CCM. Yes jimbo sio Viti
Maalum, Kwanini Kinondoni, nitafanya nini Kinondoni ? Zama kwenye blog
yangu kwa majibu yote. Misukosuko ni mingi naipata lakini tukumbuke
hakuna zuri linalopatikana kirahisi. Kinondoni bila madawa ya kulevya
inawezekana. Ukiwa kama rafiki, fan au mzalendo naomba unidhamini kwa
mchango wako wa hali na mali, kupitia mpesa 0764 484700 imesajiliwa kwa
jina la Mange Kimambi Kama uko nje ya nchi unaweza kutumia
www.gofundme.com/ycwfdc . Pia unaweza kutumia pay pal:
mybongolicious@gmail.com .
Pia unaweza kutumia western union au money gram kwenda kwa Mange John
Kimambi , Dar Es Salaam, Tz. Account ya bank crdb iko kwa blog. Please
kasome profile yangu kwenye blog yangu uelewe kwanini nimeamua kugombea
jimbo la Kinondoni.....Utanielewa zaidi. www.u-turn.co.tz .
Hakuna maoni