Madiwani Wote Ishirini Monduli Wabwaga Manyanga CCM, Wahamia CHADEMA Muda huu ninapoandika haya madiwani wote wa jimbo la Monduli waliokuwa wa CCM wamerudisha kadi na kujiunga na CHADEMA... Sio hao tu bali hata wenyeviti wa vijiji na vitongoji wote wa CCM wamerudisha kadi na kujiunga chadema.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.