Kobe Bryant ni shabiki wa FC Barcelona, cheki pichaz na Video walivyokutana Marekani…

guardiola kobe bryant barca barcelona usa tour 2011 nba
Kobe (kulia) akiwa na kocha wa zamani wa FC Barcelona Pep Guardiola
Klabu ya FC Barcelona ambayo ipo Los Angeles Marekani katika maandalizi ya msimu mpya wa Ligi kuu ya Hispania, ilimpa mwaliko mkali wa Basketball Kobe Bryant anayeichezea Los Angeles Lakers kutembelea mazoezi yao na kuona mataji matatu ya Copa de rey, Laliga na UEFA Champions waliyotwaa msimu uliopita.

Kobe ambaye pia anatajwa kuwa shabiki wa FC Barcelona mara kadhaa amewahi kuonekana akivaa jezi ya timu hiyo, hata hakupuuzia mwaliko huo special kabisa… Kobe alijiunga na mastaa wa Klabu hiyo na kupewa zawadi ya jezi ya Basketball ya Barcelona yenye namba 24 ambayo ni namba anayoivaa Kobe kwenye timu yake ya Los Angeles Lakers.
Nimekusogezea pichaz na video Kobe akienjoy na mastaa wa Barca.
5596079-Kobe-Bryant-su-pasión-por-el-FC



11254307_101175963566670_751986763_n


1_1_1_11_KOBE_FCBOA.v1437427412


KobeBarca_072015

Hapa iko Video pia Kobe akiwa na Mastaa hao.

FC Barcelona itaanza mchezo wa kwanza wa ligi kuu Hispania August 23 ugenini dhidi ya Athletic Bilbao ambayo ndio tarehe rasmi ya kuanza kwa ligi hiyo

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.