Kituo cha Police Ukonga Staki Shari Chavamiwa na Majambazi..Kwa mara nyingine Tena
Kuna askari na waliouawa.
.........................
wakuu,niko hospitali ya Muhimbili sasa hivi imeletwa miili ya askari police watano wa kituo cha staki shari wamepigwa risasi na kuporwa silaha.
...............................
So far idadi ya waliopoteza maisha ni 6 bila kujali ni askari au majambazi. Ila kuna hali ya taharuki sana maeneo ya ukonga hadi FFU wameamshwa kuja kutia nguvu
Hakuna maoni