Kampuni ya Tuesday Entertainment imewadhulumu wasanii wake? Imemfikia Soudy Brown…#UHeard (Audio)
Soudy Brown amepiga stori na dada mmoja anayeitwa Witness ambaye amesema walianza kufanya kazi kwenye kampuni inayohusika na kutengeneza Movies ya Tuesday Entertainment…
dada huyo anadai tangu mwaka jana mwezi wa 10 walikubaliana namna ya
malipo lakini baadaye akaanza kuwageuka akidai hawakulipwa na uongozi
wake African Magic.
Witness amesema wamefanya kazi miezi mitano na tayari wameshoot sehemu nne za tamthiliya ya ‘High Heels’… mkataba wao ilikuwa wafanye kazi kwa miezi kumi, japo wamefanya kazi kwa muda wote hawajawahi kulipwa pesa zao na boss wao
Msikilize hapa Soudy Brown alivyoongea na huyo dada.
Hakuna maoni