Kamanda wa Al Shabaab Aliyeongoza Mauaji ya Wanafunzi 148 Garissa University Kenya Hajafa Kama Serekali ya Kenya ilivyotangaza

Msemaji wa Ndani wa Serekali ya Kenya Mwanda Njoka Ametoa Taarifa kupitia mtandao wa Twitter kuwa shambulio lililofanywa na US huko Somalia Halijafanikiwa Kumuua Mohamed Kuno ambae ndio Gaidi Mkubwa Anayeongoza Katika list ya Magaidi wa Al shabaab Wanaotafutwa kwa udi na Uvumba...
Mwanda Njoka Amewataka wananchi wa Kenya Kuendelea kutoa Taarifa za Gaidi Huyo ili kufanikishwa kukamatwa kwake...
Shamulio lililofanywa na US Drone limeuwa Magaidi 30 huko Samalia.....
Hakuna maoni