Iyanya kwenye headlines tena, karudi na hii video mpya: “Applaudise!”

iyaanya 


Msanii maarufu kutoka Nigeria Iyanya anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani. Baada ya kudondosha video ya Nakupenda alioshirikiana na Bongo Superstaa Diamond Platnumz leo hii amerudi na kichupa kipya



iyaaanya2

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.