
Helmet za pikipiki pamoja na bunduki.
Kingine ni kwamba watu hao wamekutwa na vitu mbalimbali… Vitu vyote
vilivyopatikana vimekutwa na Polisi eneo la Mkuranga vikiwa vimefichwa
ndani ya shimo.
Tayari nimepata picha kutoka Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam, silaha
zilizopatikana zimeoneshwa hapa.. kulikokutwa hizo silaha kumekutwa na
vitu vingine pia, ikiwemo pesa Milioni 170.

Kamanda wa Polisi, Suleiman Kova.

Kamanda Kova akionesha moja ya silaha zilizopatikana.

Hizi ni sehemu ya pesa zilizokamatwa ambazo jumla yake ni Milioni 170.

Hapa kuna picha na majina ya watu ambao bado wanatafutwa na Polisi.

Kati ya watu waliokamatwa wapo ambao walikutwa na hizi pikipiki ambazo zilitumika kwenye tukio la uvamizi.

Kazi imeanza, sasahivi Vituo vya Polisi vitakuwa na CCTV camera kwa ajili ya Usalama.

Camera tayari zimeanza kufungwa, hapa ni Makao Makuu ya Polisi Dar.
Kamanda wa Polisi, Simon Silo ndio anayeongoza Oparesheni ya kusaka watuhumiwa wa tukio la uvamizi Kituo cha Polisi
Hakuna maoni