Fid Q kufanya collabo na 2Face?
Farid Kubanda maarufu kama Fd Q atafanya collabo na 2face baada ya kushiriki coke Studio….amesema alishawhi kukutana nae backstage na akamwambia anapenda jinsi anavyofanya shoo,,,pia alikutana nae S.Afrika.. kifupi amesema ni mtu aneyemfahamu na kuwasiliana naye sana.
Farid Kubanda a.k.a Fid q
Makonda amesema atakua mdhamini wa vijana wanaotafuta ajira,,,mpaka sasa tayari amepata ajira 57 za vijana ambao walikua wakikaa bure mitaani.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda
Said Fella
Hakuna maoni