Eminem ataja vichwa sita anavyo visikiliza,hiphop inamuhitaji nani,kajibu hapa.


eminem
Rapa Eminem amefanyiwa interview hivi karibuni na kusema kwa sasa anasikiliza wasanii kama  Lil Wayne, Drake, Big Sean, Kanye West Na ScHoolboy Q. Eminem pia amesema anampenda Kendrick Lamar.
Akiongelea muziki wa vijana Eminea amesema hiphop bado inamhitaji Drake , Big Sean.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.