Donald kaisambaza hii na Diamond Platnumz leo
.
Diamond Platnumz ameendelea kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.
Time hii nakukaribisha kuisikiliza hii single mpya aliyoshirikishwa na msanii kutoka South Africa Donald wimbo unaitwa ‘Wangu’.
Donald ameamua kuiita hii single jina la
Kiswahili ‘Wangu’ ambao unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza play hapa
chini, usiache kutuandikia yako maoni baada ya kuusikiliza mtu wangu
Hakuna maoni